Burudani

Video ya ‘Kama Zamani’ ya Mwana FA kutoka alhamis hii

Baada ya kusubiriwa kwa muda mrefu, hatimaye video ya wimbo wa Mwana FA, ‘Kama Zamani’ inatarajiwa kutoka Alhamis hii, August 15.

MWANAFA-NEW

Video hiyo tayari imeanza kuoneshwa kwenye kituo cha Channel O cha nchini Afrika Kusini. Mwana FA na AY kwa sasa wapo nchini Afrika Kusini walikoenda kufanya show ya Eid na pia wanashoot video.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents