Jiunge ufaidi miezi 2 bure!

Video ya kwanza ya Weasel baada ya kifo cha Mose Radio

Member wa kundi la Goodlyfe kutoka nchini Uganda, Weasel  ameachia video ya kwanza pekee yake tangu kutoka kifo cha msanii mwenzake, Mose Radio. Video hiyo ni ya wimbo uitwao Tokyayitaba, video imeongozwa na Darlington. Itazame hapa.

 

Related Articles

Bongo5

FREE
VIEW