Burudani ya Michezo Live

Video ya ‘Ndindindi’ kuzinduliwa leo

Video ya wimbo wa Lady Jaydee, Ndindindi itazinduliwa leo jijini Dar es Salaam.

12976675_861002590692999_1912303554_n

Video hiyo imeongozwa na Justin Campos wa Afrika Kusini. Uzinduzi wake utafanyika Samaki Samaki, Masaki.

Jaydee ameshare taarifa za uzinduzi huo kwa kupost picha hiyo chini kwenye mtandao wa Instagram.

12446317_216213248757888_711928019_n

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW