Mwanamuziki Shetta anamalizia video ya wimbo wake, aliomshirikisha Dully Sykes na Tunda man, katika klabu mbalimbali za muziki, amesema video yake itakuwa bora na nzuri, kwakuwa amejipanga kuanzia mavazi mpaka masista duu.
Pata picha zaidi….