BurudaniVideos

Video ya Sir Tino yaiva

Sir_Tino_face_2

Msanii wa muziki wa kizazi kipya cha Bongofleva, Sir Tino  amesema video yake inayitwa Kawaida imeifanya katika kiwasngo cha juu kulingana na soko la muziki wa sasa . Amesema wimbo huo amemshiriki Ochu umeshakamilisha na kuonyeshwa kwenye vituo mbalimbali vya tv.Sir Tino amesema video hiyo imefanya na Empyysoulz na Audio ni ya Seductive Rec chini ya producer …


Sir_Tino_Fbk

Solomon akichukua video ya wimbo wa Kawaida ya Sir Tino

Sir_Tino_Mr_T_Ochu_najob_Fire

Sir_Tino_Solomon

Ochu Sheggy akiwa na Solomon wakati wakiwa location, kabla ya kushoot wimbowa Sir Tino

Sir_Tino_Solomon_Video

Solomon wa Emptysoulz akichukua video ya Sir Tino

Si_tino_Solomon_Job_Fire

Solomon akiwa na nyota wa video hiyo Job Fire

{hwdvs-player}id=1650|width=560|height=340{/hwdvs-player}

Sir Tino akiimba kavu kavu

{hwdvs-player}id=1652|width=560|height=340{/hwdvs-player}

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents