Video: Yanga SC hatuna mpango wa kuishangilia Simba SC – Mkemi

Tumemsikia Haji Manara amesema mashabiki wa Simba SC wasiizomee Yanga SC katika mchezo wa kesho lakini kwenye mpira lolote linaweza kutokea anayefanya vizuri itashangiliwa na inayofanya vibaya inazomewa.

Related Articles

Bongo5

FREE
VIEW