Video: Yanga SC imejiandaa vizuri na ushindi ni lazima – Nsajigwa

Kocha msaidizi wa klabu ya Yanga Shadrack Nsajigwa amesema kuwa kwa upande wao wamejiandaa vizuri na wamekuwa wakifanya hivyo kwa muda mrefu kwakuwa walikuwa wakifahamu hii mechi ipo na wanaichukulia kwa umuhimu mkubwa kwa sababu siku hizi kuna raundi mbili tu kisha unaingia hatua ya makundi kwahiyo mchezo wa kesho lazima wapate ushindi.

Related Articles

Bongo5

FREE
VIEW