Michezo

Video: Yanga SC yaingia mkataba wa mamilioni na kampuni ya vifaa ya Italia

Klabu ya Yanga SC imeingia udhamini na kampuni ya vifaa vya michezo ya Macron wa thamani ya bilioni mbili kwa muda wa miaka mitatu,kampuni hiyo ndiyo watakaokuwa wakiivalisha timu hiyo kuanzia sasa.

Akizungumza katika makubaliano hayo Katibu Mkuu wa klabu ya yanga, Boniface Mkwasa, amesema kuwa wale wote waliyozoe kufanya biashara kwa kujinufaisha wao basi ni muda wa kuachana na biashara hiyo kwakuwa wanaingizia hasara klabu hiyo.

 

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents