Michezo

Video: Yanga SC yapata mapokezi babu kubwa mjini Songea

Mabingwa wa kihistoria wa ligi kuu soka Tanzania Bara Dar es Salaam Young Africans hatimaye imewasili salama Songea mchana wa leo tayari kuivaa timu ya Majimaji FC katika michuano ya Kombe la Shirikisho.

Ikiwa imetumia ndege aina ya Air Tanzania washiriki hao wa klabu bingwa Afrika wamelakiwa na umati wa mashabiki waliyojitokeza kuipokea timu hiyo.

 

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents