Burudani

Video: ZaiiD achambua ngoma ya Wowowo!!, ‘ni maalumu kwa mabinti walioumbika’

Rapper ZaiiD amefafanua mambo kadhaa kutoka kwenye ngoma yake mpya ‘Wowowo’.

“Wowowo ni love song lakini ipo special kwa mabinti ambao wameumbika kidogo wa Afrika halisi, ndio sifa ambazo huwa tunapenda sisi vijana au wanaume wa kiafrika,” ZaiiD ameiambia Bongo5.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents