Burudani
Video: Zari alivyopokelewa kwa kishindo leo Dar
Wakati bado haijafahamika kama ni kweli Zari ameachana na Diamond, leo hii mrembo huyo ametua nchini. Zari ambaye amekuwa akiishi nchini Afrika Kusini amekuja kwa ajili ya kufanikisha dili lake la kibiashara.