BurudaniUncategorizedVideos

Video: Zawadi aliyotoa Nisher kwa mashabiki katika Birthday yake

Director wa video Bongo, Nisher ameachia video kama zawadi leo hii wakati anasherekea siku yake ya kuzaliwa.

Video hiyo ya wimbo ‘Kafanuni’ iliambatana na ujumbe mfupi aliouandika katika mtandao wa Intagram akielezea furaha yake.

So Kabla sija tengeneza historia nyingine napenda nimshkuru Mwenyezi Mungu Kwa uhai na vipawa vyote, bila yeye mimi sii kitu. Napenda kuwashukuru Mashabik zangu wote duniani kwa kunipenda na kua pamoja nami kwa miaka yote hii 6 kwenye Game bila kuchoka kunifatilia… Miaka 28 duniani Nimejifunza mengi (bado mwanafunzi), nimesemwa, nimetukanwa nimetengwa na marafiki tulioanza wote safari, nimekanyagwa, nimechafuliwa jina, but mwisho wasiku niliinuka, nikaoga, nikapiga Bonge moja la Chain, nikaingia mjini wakashangaa!!! Alhamdulillah….. #HAPPBIRTHDAYNISHER28 #STILLHERE 

Itazame video hapa chini.

By Peter Akaro

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents