Burudani

Video:Chekelea Stand Up Comedy kuwasha moto weekend hii, zaidi ya wachekeshaji 5 kuonyesha makeke yao

Jumapili hii (February 3 mwaka 2019) mchekeshaji Oscar Nyerere akiwa na wachekeshaji wengine atakuwa na show ya Chekelea Stand Up Comedy ambayo ndani yake itakuwa na mastaa zaidi ya 20. Oscar amesema maandalizi ya show hiyo yamekamilisha kwa asilimia 100 huku akiwakaribisha mashabiki wa burudani kutokosa tukio hilo ambalo litafanyika Kebby Hotel jijini Dar es salaam.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents