Habari

Video/Picha: 40 ya mtoto wa Diamond yafana

Msanii wa muziki Diamond Platnum Juamosi hii amefanya sherehe ya arobaini ya mwanaye Nillan ambapo kwa mara ya kwanza, mtoto huyo ameoneshwa sura hadharani katika sherehe ya aina yake, iliyofanyika nyumbani kwao, Madale jijini Dar es Salaam.

Diamond na familia yake

Nillan alizaliwa nchini Afrika Kusini, yalipo makazi ya mwanamama Zari na tangu kuzaliwa kwake, hakuwahi kuoneshwa sura hadharani hata siku moja mpaka siku ya arobaini yake.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents