Hiyo jana Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF), Maalim Seif alimtembelea Kiongozi wa Kanisa la Ufufuo Na Uzima, Mch. Josephat Gwajima ofisini kwake kumjulia hali. Hapa chini tumekuwekea picha na video za ziara hiyo.
Unaweza kutazama video ya ziara nzima hapa chini
By Peter Akaro