Burudani

Video/Pics: Mfahamu Laika ( Msanii wa Kenya mwenye asili ya Tanzania)

Laika ni msanii aliyezaliwa nchini Kenya lakini robo ya maisha yake amekuwa nchini Tanzania. Mmoja wa wazazi wake ni Mtanzania. Kwa sasa yupo Nairobi akiendelea na muziki pamoja na modelling. Mfahamu zaidi kwa video hii.

268434_4312618489448_468398205_n

1002996_10200436525811481_1866613320_n

1460162_10201539727590836_1900870256_n

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents