BurudaniVideos

Videos: Triple Ten Bash

DJ Choka

Tamasha la Triple Ten Bash lilifanyika jana katika fukwe za Jangwani Sea Breeze jijini Dar es Salaam lililowashirikisha wasanii mbalimbali wa kizazi kipya wakiwemo Godzilla, Gelly wa Rhymes na Linex huko DJ Abu pamoja na DJ Choka wakilaza nyimbo.

 

Triple Ten Bash

Mratibu wa tamasha hilo Davis Wasira alisema kuwa lengo la tamasha hilo ilikuwa kuipongeza kampuni ya Vodacom kwa kutimiza miaka kumi, na pia kuwaleta watu wabadilishe mazingira ya starehe na kuzikonga nyoyo zao katika mazingira ya tofauti ya kiufukwe.

{hwdvs-player}id=1199|tpl=playeronly{/hwdvs-player}

{hwdvs-player}id=1198|tpl=playeronly{/hwdvs-player}

{hwdvs-player}id=1197|tpl=playeronly{/hwdvs-player}

{hwdvs-player}id=1196|tpl=playeronly{/hwdvs-player}

{hwdvs-player}id=1195|tpl=playeronly{/hwdvs-player}

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents