Jiunge ufaidi miezi 2 bure!

Vijana ACT – Wazalendo walia ukosefu wa ajira (+Video)

Katibu wa Sera na Tafiti, Kitentya Luth Ngome ya vijana wa ACT Wazalendo amesema kuwa wanasikitishwa na mwendendo wa Taifa hasa ukosefu wa ajira mpya na uwepo wa mazingira rafiki kwa wawekezaji wa ndani hususani vijana.

Akizungumza na waandishi wa Habari jijini Dar es salaam leo March 10, Katibu huyo ameitaka serikali kuimarisha uchumi ili kuongeza ajira na uzalisha na hasa kwa vijana ili kuondoa tatizo ukosefu wa ajira nchini.

Related Articles

Bongo5

FREE
VIEW