Burudani

VINKA mkali wa hit song ya ‘Chips na Ketchup’ kutoka Uganda atua Tanzania, amtaja Diamond na Ben Pol kwenye mipango yake (+video)

Msanii  wa muziki kutoka Uganda, Vinka ambaye anatamba na ngoma yake ya ‘Chips na Ketchup’  yupo nchini Tanzania kwa sasa na  ameeleza sababu zilizomfanya kuja nchini. Pia amezungumzia wasanii anao wakubali na kuahidi kufanya kolabo na msanii mkubwa Tanzania. Mtazame hapa chini

 

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents