DStv Inogilee!

Viongozi na watu maarufu duniani walivyoguswa na kifo cha Professor Stephen Hawking

Kifo cha mwanasayansi nguli, Professor Stephen Hawking kimewagusa watu mbalimbali ambao wengine wameonekana kushindwa kuzuia hisia zao na kuamua kuweka wazi kwa kuandika ujumbe kwenye mitandao yao tofauti tofauti.

Miongongoni mw watu ambao wameandikaujumbe wa kuguswa na kifo hicho ni Rais wa India na Waziri wake Mkuu, Narendra Modi, waigizaji na watu wengina maarufu.

Related Articles

Back to top button
Bongo5

FREE
VIEW