Jiunge ufaidi miezi 2 bure!

Vipi kuhusu vazi la mkanda wa kijanja ‘White Industrial Belt’ (Off-White)

Wanamitindo wote kwa sasa wameelekeza macho yao katika Website ya Bongo5 ili kufahamu kinachoendelea katika ulimwengu wa burudani na mitindo. Karibu tujuzane kuhusu mkanda uitwao White Industrial Belt (Off Belt).

Kwa sasa watu wengi maarufu wanawake kwa wanaume wanatokelezea na mkanda huu ambao unavaliwa katika nguo yenye kuhitaji mkanda. Awali mkanda Off White ulianza kutokelezea katika trend ya mikanda mirefu na hadi kuzaliwa huu.

Mikanda wa Off White ipo ya rangi nyingi kama, mweupe, mweusi na wanjano ambao ndio unapendwa sana na watu wengi.

Uzuri wa mkanda huu ni free size mtu mwenye umbo lolote anauwezo wa kijipimia atakavyo na unavaliwa katika mazingira yoyote.

 

Related Articles

Bongo5

FREE
VIEW