Michezo

Viwanja vya Simba kama Ulaya, Mkandarasi aziomba klabu nyingine kwenda kujifunza kilichofanywa na Mnyama  Bunju (+video)

Ujenzi wa viwanja vya Simba SC Bunju B waelekea kukamilika, mkandarasi Edward Shirima athibisha kuwa mpaka sasa wamefikia asilimia 90 huku wakazi wa maeneo hayo wakifurahia na kukiri vipatto vyao kuongezeka baada tu ya uwepo wa mradi huo.

”Vilabu visivyo na Uwanja waje wajifunze kwa kilichofanywa na Simba”- Mkandarasi wa Viwanja vya Simba SC, Edward Shirima.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents