Promotion

Vodacom yakabidhi hundi yenye thamani ya shilingi milioni 12 kwa Jukwaa la Wahariri

002.FORUM
Mwenyekiti wa jukwaa la wahariri nchini, Absalom Kibanda (kushoto)akisoma na kuhakiki kama hundi imeandikwa sahihi kabla ya kukabidhiwa hundi hiyo yenye thamani ya shilingi milioni 12 na Mkuu wa Idara ya Uhusiano wa Umma na Mawasiliano wa Vodacom Tanzania,Joseline Kamuhanda,kwa ajili ya mkutano mkuu wa mwaka wa wahariri wa vyombo vya habari utakaofanyika Iringa hivi karibuni. Anayeshuhudia katikati ni Katibu Mkuu wa jukwaa hilo Neville Meena

0001.FORUM
Mwenyekiti wa jukwaa la wahariri nchini Absalom Kibanda(kushoto)akikabidhiwa hundi yenye thamani ya shilingi milioni 12 na Mkuu wa Idara ya Uhusiano wa Umma na Mawasiliano wa Vodacom Tanzania, Joseline Kamuhanda

003.FORUM
Mkuu wa Idara ya Uhusiano wa Umma na Mawasiliano wa Vodacom Tanzania,Joseline Kamuhanda,akiongea na waandishi wa Habari(hawapo pichani)wakati wa kukabidhi hundi hiyo

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents