Technology

Vodafone waunda charger za simu zilizo ndani ya nguo zinazochaji simu kwa kutumia joto la mwili

Waendaji wa club na sehemu za starehe hawatakuwa na wasiwasi tena kuhusu simu zao kuishiwa chaji kutokana na kubuniwa kwa kaptura na mabegi ya kulalia ambayo hutumia joto la mwili na muenendo (movement) kuzalisha umeme.

article-2340142-1A466126000005DC-437_634x524

Kaptura hizo zenye umeme zinaweza kuchajisha betri ya simu kwa kuvuna nishati kutoka kwenye mwili wa binadamu kwa kutumia technojia ya uzalishaji umeme kwa njia ya mwendo (kinetic energy) na thermoelectric.

article-2340142-1A466013000005DC-893_634x426

Chaji hizo za kuvaliwa zimetengenezwa na kampuni ya simu ya Vodafone na chuo kikuu cha Southampton.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents