Michezo

Vunja Mbavu: Picha za utani za Luis Suarez muuma watu!!

Muda mfupi baada ya Luis Suarez kumng’ata Giorgio Chiellini begani, mitandao kijamaa haikuchelewa kuzamisha meno yake kwa mshambuliaji huyo wa Uruguay. Suarez,aliyewahi kupigwa marufuku mara mbili kwa kuuma, alidaiwa kumng’ata mchezaji huyo wa Italia katika mechi ambayo Uruguay ilishinda 1-0. Picha mbalimbali za utani zimetengenezwa kutania tukio hilo na hizi ni miongoni mwao.

article-2668058-1F1D675300000578-288_634x446

article-2668058-1F1773C700000578-236_634x393

article-0-1F1773D500000578-817_634x375

article-0-1F1773D900000578-156_634x392

article-2668058-1F1BEAAB00000578-757_634x551

article-2668058-1F1BEAB000000578-542_634x460

article-2668058-1F1BEAC100000578-448_634x732

article-2668058-1F1C31B400000578-403_634x475

article-2668058-1F1D675300000578-288_634x446

article-2668058-1F17BE1000000578-931_634x857

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents