Habari

Vunja winga ya Sharama yazinduliwa Daimond

uzinduzi_face
MWANAMUZIKI kutoka katika kundi la Ukoo Fulani huko Kenya Sharama alizindua albamu yake katika ukumbi wa Daimond Jublie, pamoja na mwanamuziki wa Tanzania raia wa Kongo Totoo Ze Bingwa.

 

Mwanamuziki huyo ambayo albamuzake pia aliuza pale pale, alisindikizwa na wasanii mbalimbali wa Kenya na Tanzania akiwemo. Akudo Impact, 20 percent, Zola D, na Abas toka Kenya
uzinduzi__densa
Abas toka Kenya alifanya vizuri sana kwenye jukwaa.
uzinduzi_zola
King Zola D naye aliwakilisha vizuri sana.
uzinduzi_ze_bingwa
Totoo ZeĀ  Bingwa naye alizindua albamu yake.
uzinduzi_dunga
Dunga naye alikuwepo kwaajili ya ‘kuhakikisha ndugu zake Wakenya wanafanya vuzuri.
uzinduzi_madensa_wa_kike
Hapa burudani ikiendelea, kwakweli ilikuwa si ya kukosa
uzinduzi_Rich_rich
Rich rich mwanamuziki toka Kenya naye alionyesha vitu vyake.

uzinduzi_mo__abasi

Hapa ni Mo One’s na Abasi nyuma ya steji

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents