Habari

Wabunge bado miezi tisa mnaenda kuomba kura , mtaenda kusema nini? – Mh. Bulembo (+video)

Mbunge wa Kuteuliwa (CCM), Abdallah Bulembo amesema kuwa bado miezi 9 wabunge wanaenda kuomba kura kwenye serikali za mitaa wataenda kusema nini kama wasipo wasikiliza wananchi waliowachagua?

Sambamba na hilo Bulembo amemtaka Waziri wa Mifugo na Uvuvi kusimamisha Operation ya uvuvi haramu huku akidai kuwa inawatesa wavuvi.

Bulembo ameyasema hayo leo, Mei 18 wakati akichangia Bajeti ya Wizara ya Mifugo na Uvuvi ya mwaka 2018/019.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents