Kama sio DStv potezea
TECNO Spark 2

Michezo

Wachezaji 20 wakongwe kushuhudia bure fainali za Mapinduzi

By  | 

Nassor Salum (Jazira)kiongozi wazamani wa soka na muakilishi wa kikwajuni amesema kuwa atatoa nafasi ya wachezaji soka 20, wazamani kuingia bure kushuhudia fainali ya Kombe la Mapinduzi inayotarajiwa kuchezwa tarehe 13 siku ya Jumamosi.

 

Kupitia kituo cha redio cha TBC Taifa wakati wa matangazo yao ya moja kwamoja, Nasoro Jizira ametoa ahadi hiyo baada ya kuulizwa swali na mtangazaji wa mtanange huo kuhusu juu ya baadhi ya wachezaji wazamani kulalamikia kushindwa kuingia kituzama mitanange hiyo kufuatia kusumbuliwa na uhaba wafedha.

Jizira amesema pia kutolewa mapema kwa timu ya Simba kumeathiri kwakiasi fulani michuano hiyo ukilinganisha kama endapo ingesalia.

 

 

Loading...

Jiunge na Bongo5.com sasa

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

Comments

Bongo5

FREE
VIEW