Michezo

Wachezaji 50 aghali barani Ulaya Eden Hazard amzidi mshindi wa Ballon d’Or, Cristiano Ronaldo

Shirika la tathmini za thamani za wachezaji CIES kwa upande wa soka limetoa orodha mpya ya thamani za wachezaji katika ligi tano kubwa Ulaya.

mademan1

Orodha inaonyesha mshambuliaji wa Chelsea, Eden Hazard anathamani ya kuuzwa kwa bei kubwa zaidi ya mshindi wa Ballon d’Or, Cristiano Ronaldo msimu huu.

mademan2

Mwanasoka huyo wa kimataifa wa Ubelgiji ana thamani ya kati ya Pound Milioni 99 hadi Milioni 110.

mademan3

Mchezaji huyo wa mwaka alikuwa wa pili kwa Lionel Messi, ambaye ana thamani ya pauni milioni 207, huku mshambuliaji wa Real Madrid, Ronaldo alishika nafasi ya tatu.

1

2

3

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents