Moto Hauzimwi

Wachezaji na Viongozi wa Simba SC watembelea ofisi za SportPesa (Picha)

Viongozi na wachezaji wa klabu ya soka ya Simba jioni ya leo wametembelea ofisi za kampuni ya kubashiri matokeo ya SportPesa ambao ndiyo wadhamini wa kuu wa timu hiyo.

Picha zikionyesha wachezaji wa Simba SC na baadhi ya viongozi wao wakiwasili katika kampuni hiyo ya michezo ya kubashiri ya SportPesa .

 

 

 

Related Articles

Bongo5

FREE
VIEW