Michezo

Wachezaji Simba wapewa mapumziko kabla kuwakabili Kagera Sugar

By  | 

Kikosi cha Simba kimepewa mapumziko mafupi ambapo kesho kuanza rasmi mazoezi tayari kujiandaa na mchezo unaofuata dhidi ya Kagera Sugar.

Mabingwa hao wapya wa ligi kuu Tanzania Bara watashuka kwenye dimba la uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam siku ya Jumapili kuwakabili Kagera Sugar.

Simba yenye alama 68 itashuka uwanjani kuwakabili Kagera Sugar bila kupoteza mchezo hata mmoja ‘Unbeaten’ ikiwa imeshacheza jumla ya michezo 28 mpaka sasa.

Loading...

Jiunge na Bongo5.com sasa

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

Comments