Michezo

Wachezaji wa Afrika watakaowania tuzo ya BBC kutajwa leo

Jumamosi hii Shirika la habari la nchini Uingereza, BBC linatarajiwa kutangaza orodha ya majina ya wachezaji ambao watawania tuzo ya mchezaji bora wa BBC.

Majina hayo yanatarajiwa kutangazwa moja kwa moja ifikapo majira ya saa tatu usiku kupitia BBC World News, BBC World Service na BBC Sport Online. Mwaka jana tuzo hiyo ilichukuliwa na Riyad Mahrez wa Algeria na klabu ya Leicester City ya Uingereza.

Hii ni orodha ya wachezaji waliowahi kushinda tuzo hiyo tangu ilipoanzishwa mwaka 2000.

2016 – Riyad Mahrez (Algeria na Leicester City)
2015 – Yaya Toure (Ivory Coast na Manchester City)
2014 – Yacine Brahimi – Algeria na FC Porto (Ureno)
2013 – Yaya Toure (Ivory Coast na Manchester City)
2012 – Chris Katongo (Zambia na Chinese Construction)
2011 – Andre ‘Dede’ Ayew (Marseille na Ghana)
2010 – Asamoah Gyan (Sunderland na Ghana)
2009 – Didier Drogba (Chelsea na Ivory Coast)
2008 – Mohamed Aboutrika (Al Ahly na Misri)
2007 – Emmanuel Adebayor (Arsenal naTogo)
2006 – Michael Essien (Chelsea Na Ghana)
2005 – Mohamed Barakat (Al Ahly Na Misri)
2004 – Jay Jay Okocha (Bolton na Nigeria)
2003 – Jay Jay Okocha (Bolton na Nigeria)
2002 – El Hadji Diouf (Liverpool na Senegal)
2001 – Sammy Kuffour (Bayern Munich na Ghana)
2000 – Patrick Mboma (Parma na Cameroon)

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents