Soka saa 24!

Wachezaji wa zamani wa Simba na Yanga, Mwanamtwa na Tigana, wafunguka haya kuhusu mchezo wa leo wa Simba dhidi ya Al ahly (+ Video)

Katika moja michezo inayovuta masikio ya wapenda soka wengi nchini Tanzania na Misri ni kati ya Simba Sc na timu ya Al ahly kutoka nchni Misri ambao unatarajiwa kuchezwa leo majira ya saa kumi alasri.

Mchezo huo utafanyika katika dimba la Taifa jijini Dar Es Salaam na Simba wanaingia leo uwanjani wakiwa na maumivu ya goli 10 katika michezo miwili mfululizo ya nje ya nchini, mmoja akifungwa na AS Vita ya DR Congo na goli zingine 5 walifungwa na hao hao Al ahly huko Misri.

Wachezaji wa zamani wawili Mwanamtwa Kihwelo na Ali Yusuf Tigana, ambao walishawahi kuzitumikia timu mbili kubwa Tanzania ambazo ni Simba na Yanga, walifunguka haya,:-

Mwanamtwa Kihwelo.
Ali Yusuf Tigana

By Ally Juma.

Related Articles

Back to top button
Bongo5

FREE
VIEW