Burudani ya Michezo Live

Wachezaji wanaotikisa usajili Ulaya ndiyo hawa

Manchester City itafikiria kumsajili kiungo wa kati Jack Grealish , 24 , ikiwa Bayern itamnunua winga wa Kijerumani Leroy Snae,24. Manchester United pia wamehusishwa na habari ya kumsajili Muingereza huyo. (Telegraph)

It's a sporting injustice' – Football fans rocked as Leroy Sane is ...

Chelsea wako tayari kumsajili kiungo Angel Gomes. Muingereza huyo, 19 , pia ananyemelewa na klabu kadhaa za nje. (Independent)

New Castle na Arsenal zinamtaka Wolfsburg Wout Weghorst

New Castle na Arsenal zinamtaka Wolfsburg Wout Weghorst

New Castle na Arsenal ni miongoni mwa klabu za primia ambazo zinapenda kumsajili mshambuliaji wa Kiholanzi anayekipiga Wolfsburg Wout Weghorst,27 kwa kitita cha pauni milioni 35 (Bild-in German)

Southampton wanamhitaji mshambuliaji wa Arsenal Florian Balogun, 28. (Mail)

Magpies pia wanafikiria kumsajili mshambuliaji wa Ufaransa Thomas Robert- mchezaji mwenye miaka 19 mtoto wa mchezaji wa zamani wa Necastle Laurent Robert- kutoka Montpellier kwa uhamisho huru. (Mail)Andre Onana ni miongoni mwa wachezaji wanaolengwa na Chelsea

Andre Onana ni miongoni mwa wachezaji wanaolengwa na Chelsea

Wachezaji wanaolengwa na Chelsea, mlinda mlango wa Cameroon, Andre Onana 24, na beki wa kushoto Nicolas Tagliafico,27 wameambiwa wanaweza kuondoka Ajax. (Sun)

Kocha wa klabu ya kiholanzi Erik ten Hag amesema kiungo ambaye pia ananyemelewa na Mancehster United Donny van de Beek ,23, anaweza kuondoka mara dirisha la usajili litakapofunguliwa tena.(Mirror)Donny van de Beek, anaweza kuondoka Manchester United

Donny van de Beek, anaweza kuondoka Manchester United

Mchezaji wa nafasi ya ulinzi ndani ya Paris St-Germain Layvin Kurzawa amesaini mkataba wa miaka mine na klabu hiyo . Mfaransa huyo ,27, alihusishwa na taarifa za kuchukuliwa na Arsenal na Liverpool. (Goal)

Mabingwa wa ligi ya Primia, Liverpool hawatatumia ‘mamilioni ‘ kwenye soko la uhamisho, amesema kocha Jurgen Klopp. (Mirror)kocha Jurgen Klopp anasema Liverpool hawatatumia 'mamilioni '

Kocha Jurgen Klopp anasema Liverpool hawatatumia ‘mamilioni ‘ kwenye soko la uhamisho

Wachezaji kadhaa wa Barcelona wamekuwa na mvutano na kocha Quique Setien kutokana na kuonesha kiwango duni cha uchezaji. (ESPN)

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW