Burudani

Wachina waondoka na ngoma za Mrisho Mpoto (Video)

Ngoma ambazo zilikuwa zinatumiwa na msanii wa muziki wa asili, Mrisho Mpoto katika maonyesha ya Utalii Duniani yaliyofanyikia nchini China zimegombaniwa na baadhi ya wachina waliojitokeza katika maonyesho hayo. Mpoto amesema ngoma hizo ziliwavutia wadau wengi ambao walijitokeza katika maonyesha hayo kutokana na namna ambavyo zilikuwa zinapigwa. Pia muimbaji huyo katika maonyesho hayo alipata fursa ya kutoa elimu kwa wachina hao kuhusu utalii wa ndani.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents