Tupo Nawe

Wadau mbalimbali waipongeza Filamu ya Bahasha wadai hii ndio filamu ya Kitanzania

Wadau mbalimbali waipongeza Filamu ya Bahasha wadai hii ndio filamu ya Kitanzania

Wadau mbalimbali walioudhuria katika uzinduzi wa filamu ya kitanzania ya Bahasha wafunguka juu ya maudhui ya filamu hiyo pia kuhusu wahusika walicheza na kusema hii ndio mfano wa filamu za kitanzania zinavyotakiwa kuwa.
Wadau hao wameongelea hasa maudhui ya filamu nzima pia mazingira na wahusika waliotumikia kucheza katika filamu hiyo na kusema “Watu wategemee matarajio mazuri sana kwani kwa sasa wanalibadili soko la Filamu Tanzania kwani mwanzo waliokuwa wakitumika kucheza hawakuwa watu sasa bali walikuwa wanaangalia mwonekano tu ila hawana vipaji.
Na pia wakiongeza kila kitu kilichoonekana kwenye Filamu hii ndio maisha halisi ya Mtanzania kwani ni kweli Viongozi wetu wanafanya hivyo.
Tazama maoni yao:-

By Ally Juma.

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW