Michezo

Wafahamu wachezaji wa Afrika wanaowania kuingia katika kikosi bora cha dunia ‘FIFA FIFPro Men’s World11 2019’

Wachezaji wa Afrika ni miongoni mwa wanasoka 55 waliyotajwa na shirikisho la soka duniani FIFA kwenye listi ya kuwania kuingia katika the kikosi cha dunia cha wachezaji bora (FIFA FIFPro Men’s World11 2019).

Image

Baadhi ya wachezaji hao kutoka Afrika ni pamoja na mshambuliaji wa timu ya taifa ya Misri na klabu ya Liverpool, Mo Salah, Sadio Mane Senegal na Liverpool, Sadio Mane wa Senegal na Liverpool pamoja na beki wa Napol raia wa Senegal Kalidou Koulibaly.

Kikosi cha jumla ya wachezaji 11 kutoka katika orodha hiyo 55 waliyoteuliwa kitatangazwa kwenye hafla ya tuzo ya wanasoka bora iliyoandaliwa na FIFA Septemba 23 ya mwezi huu.

Kikosi hiko kitakuwa na golikipa mmoja, mabeki wanne, viungo watatu pamoja na washambuliaji watatu. Kura za kupatikana kwa kikosi bora cha dunia hupigwa na wachezaji pamoja na wataalamu mbalimbali wa soka duniani.

Wanasoka bora kabisa kwa sasa Lionel Messi, Cristiano Ronaldo, Luis Suarez, Kylian Mbappe, Eden Hazard, Virgil van Dijk ni miongoni mwa liyotajwa kwenye listi hiyo ya wachezaji 55 ili kupata kikosi bora cha dunia.

The 55 players selected

Goalkeepers (5)

Alisson Becker (BRA) – Liverpool FC
David De Gea (ESP) – Manchester United
Ederson Moraes (BRA) – Manchester City
Jan Oblak (SVN) – Atletico Madrid
Marc-Andre ter Stegen (GER) – FC Barcelona

Defenders (20)

Jordi Alba (ESP) – FC Barcelona
Trent Alexander-Arnold (ENG) – Liverpool FC
Dani Alves (BRA) – Paris Saint-Germain / Sao Paulo FC
Joao Cancelo (POR) – Juventus / Manchester City
Daniel Carvajal (ESP) – Real Madrid
Giorgio Chiellini (ITA) – Juventus
Matthijs de Ligt (NED) – Ajax / Juventus
Diego Godin (URU) – Atletico Madrid / Internazionale
Joshua Kimmich (GER) – Bayern Munich
Kalidou Koulibaly (SEN) – SSC Napoli
Aymeric Laporte (FRA) – Manchester City
Marcelo (BRA) – Real Madrid
Gerard Pique (ESP) – FC Barcelona
Sergio Ramos (ESP) – Real Madrid
Andrew Robertson (SCO) – Liverpool FC
Alex Sandro (BRA) – Juventus
Thiago Silva (BRA) – Paris Saint-Germain
Virgil van Dijk (NED) – Liverpool FC
Raphael Varane (FRA) – Real Madrid
Kyle Walker (ENG) – Manchester City

Midfielders (15)

Sergio Busquets (ESP) – FC Barcelona
Casemiro (BRA) – Real Madrid
Kevin de Bruyne (BEL) – Manchester City
Frenkie de Jong (NED) – Ajax / FC Barcelona
Christian Eriksen (DEN) – Tottenham Hotspur
Eden Hazard (BEL) – Chelsea FC / Real Madrid
N’Golo Kante (FRA) – Chelsea FC
Toni Kroos (GER) – Real Madrid
Arthur Melo (BRA) – FC Barcelona
Luka Modric (CRO) – Real Madrid
Paul Pogba (FRA) – Manchester United
Ivan Rakitic (CRO) – FC Barcelona
Bernardo Silva (POR) – Manchester City
Dusan Tadic (SRB) – Ajax
Arturo Vidal (CHI) – FC Barcelona

Forwards (15)

Sergio Aguero (ARG) – Manchester City
Karim Benzema (FRA) – Real Madrid
Cristiano Ronaldo (POR) – Juventus
Roberto Firmino (BRA) – Liverpool FC
Antoine Griezmann (FRA) – Atletico Madrid / FC Barcelona
Son Heungmin (KOR) – Tottenham Hotspur
Harry Kane (ENG) – Tottenham Hotspur
Robert Lewandowski (POL) – Bayern Munich
Sadio Mane (SEN) – Liverpool FC
Kylian Mbappe (FRA) – Paris Saint-Germain
Lionel Messi (ARG) – FC Barcelona
Neymar (BRA) – Paris Saint-Germain
Mohamed Salah (EGY) – Liverpool FC
Raheem Sterling (ENG) – Manchester City
Luis Suarez (URU) – FC Barcelona

 

 

 

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents