Tupo Nawe

Wafungwa 25 wafariki baada ya kuzuka ghasia nchini Venezuela

Venezuela: Katika tukio hilo Askari 20 wamejeruhiwa wakati walifanya jitihada za kutuliza ghasia hizo katika gereza la Acarigua

Gereza hilo lilijengwa kwa ajili ya kuhifadhi Wafugwa 250 lakini kwa sasa lina takribani Wafungwa 540

Matukio ya ghasia na vifo wametokea kwa miaka 3 mfululizo nchini Venezuela ambapo Agosti, 2017 wafungwa 38 walifariki baada ya kuzuka kwa mgomo gerezani

Machi 2018, Wafungwa 68 walifariki katika ghasia zilizopelekea mlipuko wa moto

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW