AFCON 2019 Tupogo!
Vodacom Data Datani!

Waganga waliomponza Mobetto kwa Diamond waingia Kenya kwa kasi (Video)

Muimbaji kutoka nchini humo, @violakaruri ambaye kwa sasa anajipanga Alhamisi hii kuachia wimbo wake mpya uitwao ‘Leo’, amesema ukipita katika mitaa mingi ya Kenya utakutana na mabango ya waganga wa jadi kuhusu mapenzi na utajiri na utambulisho wao mkubwa wanaandika wanatoka Tanzania.

Wiki moja iliyopita mzazi mwenza wa Diamond, Hamisa Mobetto alijikuta matatani baada ya kunaswa sauti zake akiongea na mganga wa jadi ishu ya kutaka kumtuliza baba watoto wake huyo kupitia mbinu za kishirikina.

Related Articles

Back to top button
Bongo5

FREE
VIEW