Tia Kitu. Pata Vituuz!

Wagonjwa wa Corona Tanzania waongezeka wawili, wote ni Watanzania

Wizara ya Afya imetoa taarifa ya hali ya ugonjwa wa Corona nchini ambapo Alhamisi hii kupitia taarifa hiyo imeonyesha wagonjwa wawili wameongezeka ambao wote ni raia wa Tanzania.

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW