Habari

Wahu aanzisha blog kwaajili ya masuala ya watoto na wazazi ‘babylovenetwork’

So si Nancy Sumari pekee anayependa kushare story nzuri kuhusu watoto na malezi (mamazuri.com). Na sasa muimbaji wa Kenya, Wahu ambaye ni mke wa mwanamuziki mwenzie, Nameless ameanzisha blog iitwayo babylovenetwork.com – Connect, Learn, Discover, Share.

922737_10151571672509228_564791835_n

Kwenye blog hiyo Wahu atakuwa akishare na wasomaji mbalimbali masuala ya uzazi, ujauzito na ulezi wa watoto.

“Welcome to my babylove blog!! I’m really excited about this blog and look forward to interacting with my fellow mummies….and daddies too! I’m especially looking forward to hearing your interesting baby stories, as I share mine with you J,” ameandika Wahu.

Kila lakheri Wahu.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents