Mitindo

Wakaka msipitwe na miwani za ‘Clout Goggles’

Hello hello! nakukaribisha katika ulimwengu wa mitindo kutoka hapa Bongo5, inayokuletea habari mbalimbali za miteindo na leo tutawacheki wa kaka a mujini amabo hawawezi kupitwa na aina mpya ya mitindo.

Kwa sasa kuna aina ana staili mpya ya miwani ziiatwazo ‘Clout Goggles’ hizi zinaweza kuvaliwa na wanawake pamoja na wanaume, ila idadi kubwa anaoongoza kubaa miwani hizi ni wakaka na huwapenza kweli kweli.

Zipo za rangi tofauti tofauti za miwani hizi ila nyeupe ndio habari hupendelewa zaidi kuvaliwa. Kama wewe ni mkaka na kijana unayetaka kwenda na wakati hupaswi kuacha kuwa na miwani hii.

Clout Goggles hupendeza zaidi ukia umevaa simple yani kaka utavaa kwa mitoka ya weekend ama partyhata beach hii ndiyo mahala pakee huaswi kumix sehemu na mavazi.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents