Videos

Wakati bado ‘Natamba’ inafanya vizuri Aslay ameachia video ya wimbo mpya ‘Hauna’ itazame hapa

Msanii wa Bongo Fleva, Aslay ameachia video ya wimbo wake mpya wa ‘Hauna’ ikiwa ni muendelezo wa kuachia Hit baada ya Hit kwani bado ngoma yake ya Natamba na Pusha zinafanya vizuri kwenye media hapa Tanzania.

Audio ya ngoma hii imetengenezwa na Zest na Video imeongozwa na studio za Emperor toa comment yako hapa chini jinsi ulivyoipokea ngoma hii.

Tazama kichupa hicho hapa chini.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents