Uncategorized

Wakazi afunguka mipango ya 40 ya Godzilla na tuhuma za kula rambi rambi ‘Fid Q alikosea kuweka mtandaoni’ (+video)

Rapper Wakazi amefunguka kuhusu mipango ya 40 ya marehemu Godzilla ambapo amesema kuwa kwa sasa anashirikiana na familia ya Godzilla kuweza kuchapisha T-shirts na kumalizia album ili wauze siku ya 40 kwa lengo la kumsaidia mtoto wa marehemu.

Wakazi akiongea na Bongo5, amesema pia alisikitishwa na kauli ya Fid Q aliyoitoa siku akimkabidhi rambi rambi mama yake na Godzilla kutoka kwa RC Makonda.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents