Burudani

Wakazi asema mwaka 2014 ni wa kwake ‘wanaodoubt uwezo wangu, I got something for them’…(Video)

Rapper Wakazi amesema mwaka 2014 ni wake. Akiongea na Bongo5, hitmaker huyo wa ‘Touch’ amesema mwaka huu atafanya mambo makubwa kwakuwa tayari ameshatengeneza msingi mzuri mwaka jana.

“Wakati niko nje ya nchi, sometimes nikituma hizi freestyles au nyimbo inakuwa kazi sana kuweza kupata exposure ya kutosha, si kwasababu wanakubania, bali watu hawakujui, hawajui umetokea wapi na nini,”amesema Wakazi.

“Lakini sasa hivi nimetengeneza mahusiano na kila mtu. Kila mtu anajua mimi mtu wa nyumbani, nipo nyumbani naweza nikareach out kwa mtu yeyote na nikamwambia ‘bwana nina kazi yangu’ na wanisaidie kuipush’ na wananiona mimi mwenyewe ninavyoipush wakajua mimi ni wa hapa so ni rahisi hata kunisaidia.”

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents