Wakazi azitaja Ngoma za Diamond pamoja na Alikiba alizozifanyia Remix

Wakazi azitaja Ngoma za Diamond pamoja na Alikiba alizozifanyia Remix

Msanii wa Hip Hop kutoka Tanzania Wakazi ameachia ngoma yake mpya inayojulikana kama Kanda maalumu aliyomshirikisha Nikki Mbishi.hapa anatoa maelezo kwanini ameita kanda ya kati na kwanini kaamua kumshirikisha Nikki Mbishi pia amezitaja ngoma mbili za wasanii wakubwa ambao ni Diamond Platinumz pamoja na ngoma ya Alikiba aliyoifanyia Remix.

 

By Ally Juma

Related Articles

Bongo5

FREE
VIEW