Habari

Wakazi azungumzia mipango yake ya muziki mwaka huu

Rapper Wakazi Wassira amefunguka kuhusu mipango yake baada ya kurejea tena nyumbani akitokea Marekani. Hivi karibuni Wakazi aka The BiLyngwo BEAST aliachia ngoma mpya iitwayo So Harder.

wakazi

EP inatoka, baada ya EP ambayo itakuwa na albam na vilevile kutakuwa na mixtape ya International na urban International pia yaani ni kazi zinakuja mfululizo just be ready men, jiandeni mkao wa kula Wakazi Swaga bovu kuna “So harder” nipo na Albino Fulani, One the Incredible na Godzilla. Request “Weekend” by Reezon ft. Wakazi & Chibbz on ur favorite radio ambayo video yake inatarajia kuingia sokoni siku chache na pia tunajiandaa na show ya ndugu yangu Lady Jaydee kumsupport katika show yake ya miaka 13 pale Nyumbani Lounge”.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents