Picha

Wakazi wa Kimara wafurahia tamasha la Mziki Mnene chini ya Vodacom Tanzania

 

 

kimara_06
Wapenzi wakimbeba msanii wa muziki wa Singeli, Beka Kanali kwenye tamasha lililodhaminiwa na Vodacom Tanzania la Mziki Mnene katika viwanja vya Raino Kimara jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki

 

 

kimara_08
Wasanii wa Sigeli wakishambulia jukwaa kwenye tamasha lililodhaminiwa na Vodacom Tanzania la Mziki Mnene katika viwanja vya Raino Kimara jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki
kimara_010
Wakazi wa Kimara wakifurika kwenye tamasha lililodhaminiwa na Vodacom Tanzania la Mziki Mnene katika viwanja vya Raino Kimara jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki

kimara_011

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents