Habari

Wakili Fatma Karume afunguka ishu ya Lissu kunyimwa dhamana (Video)

Mwanasheria Mkuu wa Chama Cha Demokrasia (Chadema) Tundu Lissu, amekosa dhamana baada ya upande wa Jamhuri kuwasilisha hoja ya kuzuiya dhamana ya mwanasheria huyo. Upande wa Utetezi ulijibu hoja Hizo kwamba dhamana ni Haki ya Mtuhumiwa kutokana na Aina ya Mashtaka hayo.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents