Moto Hauzimwi
Shinda na SIM Account

Wakili Kibatala azungumza baada ya kujiengua kuwa wakili wa Wema Sepetu (+Video)

Aliyekuwa Wakili wa Malkia wa Filamu nchini Tanzania, Wema Sepetu, tangu kesi yake ianze kusikilizwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Peter Kibatala amezungumza baada ya kuandika barua ya kujitoa kuwa Wakili wa mrembo huyo. Ambapo mpaka sasa anapoacha kuwa wakili wake mashahidi wawili walishasikilizwa. Tazama video hii Wakili huyo akieleza.

Leave a comment

Related Articles

Bongo5

FREE
VIEW